Numbers 14:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa wajibu hivi: Kama niishivyo, nasema mimi Mwenyezi-Mungu, nitawatendeeni yaleyale niliyosikia mkiyasema:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo waambie, ‘Hakika kama niishivyo, asema Mwenyezi Mungu, nitawafanyia vitu vilevile nilivyosikia mkisema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waambieni, Kama niishivyo, asema Bwana, hakika yangu kama ninyi mlivyonena masikioni mwangu, ndivyo nitakavyowafanyia ninyi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa wajibu hivi: Kama niishivyo, nasema mimi Mwenyezi-Mungu, nitawatendeeni yaleyale niliyosikia mkiyasema:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo waambie, ‘Hakika kama niishivyo, asema BWANA, nitawafanyia vitu vile vile nilivyosikia mkisema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo waambie, ‘Hakika kama niishivyo, asema bwana, nitawafanyia vitu vilevile nilivyosikia mkisema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waambieni, Kama niishivyo, asema BWANA, hakika yangu kama ninyi mlivyonena masikioni mwangu, ndivyo nitakavyowafanyia ninyi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa wajibu hivi: Kama niishivyo, nasema mimi Mwenyezi-Mungu, nitawatendeeni yaleyale niliyosikia mkiyasema:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waambie: Ndivyo, asemavyo Bwana: Kwa hivyo, nilivyo Mwenye uzima, nitawafanyizia yayo hayo, mliyoyasema masikioni mwangu:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waambieni, Kama niishivyo, asema BWANA, hakika yangu kama ninyi mlivyonena masikioni mwangu, ndivyo nitakavyowafanyia ninyi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa uwajibu hivi: Yawe anasema hivi: Kama vile ninavyoishi, nitawatendea ninyi yaleyale niliyosikia mukiyasema: