Numbers 14:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa nini Mwenyezi-Mungu anatupeleka katika nchi hiyo? Tutauawa vitani, na wake zetu na watoto wetu watachukuliwa mateka! Si afadhali turudi Misri?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa nini Mwenyezi Mungu anatuleta katika nchi hii ili tufe kwa upanga? Wake zetu na watoto wetu watachukuliwa kama nyara. Je, isingekuwa bora kwetu kurudi Misri?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbona Bwana anatuleta mpaka nchi hii ili tuanguke kwa upanga? Wake zetu na watoto wetu watakuwa mateka; je! Si afadhali turudi Misri?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa nini Mwenyezi-Mungu anatupeleka katika nchi hiyo? Tutauawa vitani, na wake zetu na watoto wetu watachukuliwa mateka! Si afadhali turudi Misri?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa nini BWANA anatuleta katika nchi hii ili tufe kwa upanga? Wake zetu na watoto wetu watachukuliwa kama nyara. Je, isingekuwa bora kwetu kurudi Misri?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa nini bwana anatuleta katika nchi hii ili tufe kwa upanga? Wake zetu na watoto wetu watachukuliwa kama nyara. Je, isingekuwa bora kwetu kurudi Misri?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbona BWANA anatuleta mpaka nchi hii ili tuanguke kwa upanga? Wake zetu na watoto wetu watakuwa mateka; je! Si afadhali turudi Misri?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa nini Mwenyezi-Mungu anatupeleka katika nchi hiyo? Tutauawa vitani, na wake zetu na watoto wetu watachukuliwa mateka! Si afadhali turudi Misri?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa nini Bwana anatupeleka katika nchi ile, tuuawe kwa panga, wake zetu nao watoto wetu watekwe? Haitatufalia zaidi kurudi Misri?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbona BWANA anatuleta mpaka nchi hii ili tuanguke kwa upanga? Wake zetu na watoto wetu watakuwa mateka; je! Si afadhali turudi Misri?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa nini Yawe anatupeleka katika inchi hiyo? Tutauawa katika vita, na wake zetu na watoto wetu watakamatwa mateka! Si afazali turudi Misri?