Numbers 14:36 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale watu ambao Mose aliwatuma kwenda kuipeleleza ile nchi waliorudi na kusababisha watu wamnungunikie Mwenyezi-Mungu kwa kuleta taarifa mbaya dhidi ya nchi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo watu wale ambao Musa alikuwa amewatuma kuipeleleza nchi, waliorudi na kuifanya jumuiya nzima kunung’unika dhidi ya Musa kwa kueneza taarifa mbaya kuhusu hiyo nchi:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha hao watu, ambao Musa aliwatuma waipeleleze nchi, waliorudi, na kufanya mkutano wote kumnung'unikia, kwa walivyoleta habari mbaya juu ya nchi,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale watu ambao Mose aliwatuma kwenda kuipeleleza ile nchi waliorudi na kusababisha watu wamnung'unikie Mwenyezi-Mungu kwa kuleta taarifa mbaya dhidi ya nchi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo watu wale ambao Mose alikuwa amewatuma kuipeleleza nchi, waliorudi na kuifanya jumuiya nzima kunung'unika dhidi ya Mose kwa kueneza taarifa mbaya kuhusu hiyo nchi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo watu wale ambao Musa alikuwa amewatuma kuipeleleza nchi, waliorudi na kuifanya jumuiya nzima kunung’unika dhidi ya Musa kwa kueneza taarifa mbaya kuhusu hiyo nchi:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha hao watu, ambao Musa aliwatuma waipeleleze nchi, waliorudi, na kufanya mkutano wote kumnung'unikia, kwa vile walileta habari mbaya juu ya nchi,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale watu ambao Mose aliwatuma kwenda kuipeleleza ile nchi waliorudi na kusababisha watu wamnungunikie Mwenyezi-Mungu kwa kuleta taarifa mbaya dhidi ya nchi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wale watu, Mose aliowatuma kuipeleleza nchi ile, ni wao waliounung'unisha mkutano wote waliporudi na kutoa habari za nchi ile,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha hao watu, ambao Musa aliwatuma waipeleleze nchi, waliorudi, na kufanya mkutano wote kumnung’unikia, kwa walivyoleta habari mbaya juu ya nchi,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wale watu ambao Musa aliwatuma kwenda kupeleleza ile inchi waliorudi na kusababisha watu wamunungunikie Yawe kwa kuleta habari ya uongo juu ya inchi,