Numbers 14:37 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
watu hao waliotoa taarifa ya uovu kuhusu hiyo nchi, walikufa kwa pigo mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
watu hawa waliohusika kueneza taarifa mbaya kuhusu hiyo nchi walipigwa na kuanguka kwa tauni mbele za Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
watu hao walioileta habari mbaya ya nchi wakafa kwa tauni mbele ya Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
watu hao waliotoa taarifa ya uovu kuhusu hiyo nchi, walikufa kwa pigo mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
watu hawa waliohusika kueneza taarifa mbaya kuhusu hiyo nchi walipigwa na kuanguka kwa tauni mbele za BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
watu hawa waliohusika kueneza taarifa mbaya kuhusu hiyo nchi walipigwa na kuanguka kwa tauni mbele za bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
watu hao walioileta habari mbaya ya nchi wakafa kwa tauni mbele za BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
watu hao waliotoa taarifa ya uovu kuhusu hiyo nchi, walikufa kwa pigo mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
hao watu waliozitoa zile habari mbaya za nchi ile wakafa kwa kupigwa na Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
watu hao walioileta habari mbaya ya nchi wakafa kwa tauni mbele ya BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
watu hao waliotoa habari za uongo juu ya hiyo inchi, wakakufa kwa pigo mbele ya Yawe.