Numbers 14:39 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Mose aliwaambia Waisraeli wote nao walilia kwa uchungu mwingi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa alipotoa taarifa hii kwa Waisraeli wote, waliomboleza kwa uchungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Musa akawaambia wana wa Israeli wote maneno haya, na hao watu wakaombolea sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Mose aliwaambia Waisraeli wote nao walilia kwa uchungu mwingi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose alipotoa taarifa hii kwa Waisraeli wote, waliomboleza kwa uchungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa alipotoa taarifa hii kwa Waisraeli wote, waliomboleza kwa uchungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Musa akawaambia wana wa Israeli wote maneno haya, na hao watu wakaomboleza sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Mose aliwaambia Waisraeli wote nao walilia kwa uchungu mwingi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose alipowaambia wana wote wa Isiraeli maneno haya, wakasikitika sana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Musa akawaambia wana wa Israeli wote maneno haya, na hao watu wakaombolea sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akawaambia Waisraeli wote nao wakalia kwa uchungu mwingi.