Numbers 14:41 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Mose akasema, “Sasa mbona mnavunja agizo la Mwenyezi-Mungu? Hivyo hamtafaulu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Musa akasema, “Kwa nini hamtii amri ya Mwenyezi Mungu? Jambo hili halitafanikiwa!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akawaambia, Kwa nini ninyi sasa kuyahalifu maagizo ya Bwana? Maana halitafanikiwa jambo hilo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Mose akasema, “Sasa mbona mnavunja agizo la Mwenyezi-Mungu? Hivyo hamtafaulu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Mose akasema, “Kwa nini hamtii amri ya BWANA? Jambo hili halitafanikiwa!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Musa akasema, “Kwa nini hamtii amri ya bwana? Jambo hili halitafanikiwa!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akawaambia, Kwa nini ninyi sasa kuyakaidi maagizo ya BWANA? Maana halitafanikiwa jambo hilo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Mose akasema, “Sasa mbona mnavunja agizo la Mwenyezi-Mungu? Hivyo hamtafaulu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Mose akasema: Mbona ninyi mwataka kuitangua amri ya Bwana? Hamtafanikiwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akawaambia, Kwa nini ninyi sasa kuyahalifu maagizo ya BWANA? Maana halitafanikiwa jambo hilo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Musa akasema: Sasa mbona munavunja agizo la Yawe? Hivyo hamutashinda!