Numbers 14:42 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msiende huko milimani msije mkapigwa bure na adui zenu, maana, Mwenyezi-Mungu hayuko pamoja nanyi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msipande juu, kwa kuwa Mwenyezi Mungu hayupo pamoja nanyi. Mtashindwa na adui zenu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msikwee, kwa kuwa Bwana hamo kati yenu; msipigwe na kuangushwa mbele ya adui zenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msiende huko milimani msije mkapigwa bure na adui zenu, maana, Mwenyezi-Mungu hayuko pamoja nanyi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msipande juu, kwa kuwa BWANA hayupo pamoja nanyi. Mtashindwa na adui zenu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msipande juu, kwa kuwa bwana hayupo pamoja nanyi. Mtashindwa na adui zenu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msikwee, kwa kuwa BWANA hayumo kati yenu; msipigwe na kuangushwa mbele ya adui zenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msiende huko milimani msije mkapigwa bure na adui zenu, maana, Mwenyezi-Mungu hayuko pamoja nanyi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Msipande! Kwani Bwana hamnaye katikati yenu, msipigwe na adui zenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msikwee, kwa kuwa BWANA hamo kati yenu; msipigwe na kuangushwa mbele ya adui zenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musiende kule kwenye milima kusudi musipigwe bure na waadui zenu, maana, Yawe hayuko pamoja nanyi.