Numbers 14:43 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mkiwakabili Waamaleki na Wakanaani, mtafia vitani; kwa kuwa mmeacha kumfuata Mwenyezi-Mungu, yeye hatakuwa pamoja nanyi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa kuwa Waamaleki na Wakanaani watapambana nanyi huko. Kwa sababu mmemwacha Mwenyezi Mungu, hatakuwa pamoja nanyi, ninyi mtaanguka kwa upanga.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa Mwamaleki na Mkanaani wako mbele yenu, nanyi mtaanguka kwa upanga, kwa sababu mmerudi nyuma msimwandame Bwana, kwa hiyo Bwana hatakuwa pamoja nanyi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mkiwakabili Waamaleki na Wakanaani, mtafia vitani; kwa kuwa mmeacha kumfuata Mwenyezi-Mungu, yeye hatakuwa pamoja nanyi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa kuwa Waamaleki na Wakanaani watapambana nanyi huko. Kwa sababu mmemwacha BWANA, hatakuwa pamoja nanyi, ninyi mtaanguka kwa upanga.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa kuwa Waamaleki na Wakanaani watapambana nanyi huko. Kwa sababu mmemwacha bwana, hatakuwa pamoja nanyi, ninyi mtaanguka kwa upanga.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa Mwamaleki na Mkanaani wako mbele yenu, nanyi mtaanguka kwa upanga, kwa sababu mmerudi nyuma msimfuate BWANA, kwa hiyo BWANA hatakuwa pamoja nanyi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mkiwakabili Waamaleki na Wakanaani, mtafia vitani; kwa kuwa mmeacha kumfuata Mwenyezi-Mungu, yeye hatakuwa pamoja nanyi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Waamaleki na Wakanaani wako mbele yenu, nanyi mtaangushwa kwa panga, kwa kuwa mmerudi nyuma na kumwacha Bwana; kwa hiyo Bwana hatakuwa nanyi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa Mwamaleki na Mkanaani wako mbele yenu, nanyi mtaanguka kwa upanga, kwa sababu mmerudi nyuma msimwandame BWANA, kwa hiyo BWANA hatakuwa pamoja nanyi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mukiwashambulia Waamaleki na Wakanana, mutakufia katika vita kwa sababu mumeacha kumufuata Yawe. Yeye hatakuwa pamoja nanyi.