Numbers 14:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kuiambia jumuiya yote ya Waisraeli, “Nchi tuliyokwenda kuipeleleza ni nzuri kupita kiasi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wakasema na kusanyiko lote la Waisraeli, wakawaambia, “Nchi tuliyopita kati yake kuipeleleza ni nzuri sana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakanena na mkutano wote wa wana wa Israeli wakasema, Nchi ile tuliyopita kati yake ili kuipeleleza, ni nchi njema mno ya ajabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kuiambia jumuiya yote ya Waisraeli, “Nchi tuliyokwenda kuipeleleza ni nzuri kupita kiasi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakasema na kusanyiko lote la Kiisraeli, wakawaambia, “Nchi tuliyopita katikati yake na kuipeleleza ni nzuri sana sana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wakasema na kusanyiko lote la Kiisraeli, wakawaambia, “Nchi tuliyopita katikati yake na kuipeleleza ni nzuri sana sana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakanena na mkutano wote wa wana wa Israeli wakasema, Nchi ile tuliyopita kati yake ili kuipeleleza, ni nchi njema mno ya ajabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kuiambia jumuiya yote ya Waisraeli, “Nchi tuliyokwenda kuipeleleza ni nzuri kupita kiasi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakauambia mkutano wote wa wana wa Isiraeli kwamba; Ile nchi, tuliyoipita na kuipeleleza, ni nchi njema sanasana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakanena na mkutano wote wa wana wa Israeli wakasema, Nchi ile tuliyopita kati yake ili kuipeleleza, ni nchi njema mno ya ajabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kuwaambia Waisraeli: Inchi tuliyokwenda kupeleleza ni nzuri sana.