Numbers 14:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ikiwa Mwenyezi-Mungu amependezwa nasi, atatupeleka huko na kutupa nchi inayotiririka maziwa na asali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ikiwa Mwenyezi Mungu anapendezwa nasi, atatuongoza kuingia katika nchi ile, nchi inayotiririka maziwa na asali, naye atatupatia nchi hiyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikiwa Bwana anatufurahia, atatuingiza katika nchi hii atupe iwe yetu, nayo ni nchi yenye wingi wa maziwa na asali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ikiwa Mwenyezi-Mungu amependezwa nasi, atatupeleka huko na kutupa nchi inayotiririka maziwa na asali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikiwa BWANA anapendezwa nasi, atatuongoza kuingia katika nchi ile, nchi itiririkayo maziwa na asali, naye atatupa nchi hiyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ikiwa bwana anapendezwa nasi, atatuongoza kuingia katika nchi ile, nchi itiririkayo maziwa na asali, naye atatupa nchi hiyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikiwa BWANA anatufurahia, atatuingiza katika nchi hii atupe iwe yetu, nayo ni nchi yenye wingi wa maziwa na asali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ikiwa Mwenyezi-Mungu amependezwa nasi, atatupeleka huko na kutupa nchi inayotiririka maziwa na asali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akipendezwa nasi, atatuingiza katika nchi hiyo, atupe, iwe yetu; nayo ni nchi ichuruzikayo maziwa na asali.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikiwa BWANA anatufurahia, atatuingiza katika nchi hii atupe iwe yetu, nayo ni nchi yenye wingi wa maziwa na asali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ikiwa Yawe amependezwa nasi, atatupeleka huko na kutupatia inchi inayotiririka maziwa na asali.