Numbers 15:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Hivyo ndivyo vitu vitakavyotolewa pamoja na kila fahali, kondoo dume au mbuzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila fahali au kondoo dume, kila mwana-kondoo au mbuzi mchanga, atatayarishwa kwa njia hii.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndivyo itakavyofanywa kwa kila ng'ombe, au kwa kila kondoo mume, au kwa kila mwana-kondoo mume, au kila mwana-mbuzi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Hivyo ndivyo vitu vitakavyotolewa pamoja na kila fahali, kondoo dume au mbuzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila fahali au kondoo dume, kila mwana-kondoo au mbuzi mchanga, atatayarishwa kwa njia hii.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila fahali au kondoo dume, kila mwana-kondoo au mbuzi mchanga, atatayarishwa kwa njia hii.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndivyo itakavyofanywa kwa kila ng'ombe, au kwa kila kondoo dume, au kwa kila mwana-kondoo dume, au kila mwana-mbuzi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Hivyo ndivyo vitu vitakavyotolewa pamoja na kila fahali, kondoo dume au mbuzi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivi uvitengenezee kila ng'ombe mmoja au kila dume moja la kondoo au kila mwana kondoo au kila mwana mbuzi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndivyo itakavyofanywa kwa kila ng’ombe, au kwa kila kondoo mume, au kwa kila mwana-kondoo mume, au kila mwana-mbuzi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivi ndivyo vitu vitakavyotolewa pamoja na kila mwana-ngombe dume, kondoo dume au mbuzi.