Numbers 15:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila mwananchi Mwisraeli atafuata maagizo hayo wakati anapotoa tambiko, harufu impendezayo Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Kila mmoja ambaye ni mzawa ni lazima afanye vitu hivi kwa njia hii hapo aletapo sadaka ya kuteketezwa kwa moto kama harufu nzuri inayompendeza Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wote ambao wamezaliwa kwenu watafanya hayo yote kwa kuandama mfano huo, katika kusongeza sadaka kwa moto, ya harufu ya kupendeza kwa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila mwananchi Mwisraeli atafuata maagizo hayo wakati anapotoa tambiko, harufu impendezayo Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kila mmoja ambaye ni mzawa ni lazima afanye vitu hivi kwa njia hii hapo aletapo sadaka ya kuteketezwa kwa moto kama harufu nzuri inayompendeza BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Kila mmoja ambaye ni mzawa ni lazima afanye vitu hivi kwa njia hii hapo aletapo sadaka ya kuteketezwa kwa moto kama harufu nzuri inayompendeza bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wote ambao wamezaliwa kwenu watafanya hayo yote kwa kufuata mfano huo, katika kusongeza sadaka kwa moto, ya harufu ya kupendeza kwa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila mwananchi Mwisraeli atafuata maagizo hayo wakati anapotoa tambiko, harufu impendezayo Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kila mwenyeji sharti avitengeneze vivyo hivyo akitaka kumtolea Bwana ng'ombe ya tambiko kuwa mnuko wa moto wa kumpendeza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wote ambao wamezaliwa kwenu watafanya hayo yote kwa kuandama mfano huo, katika kusongeza sadaka kwa moto, ya harufu ya kupendeza kwa BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila mwananchi Mwisraeli atafuata maagizo hayo wakati anapotoa sadaka, harufu inayomupendeza Yawe.