Numbers 15:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nyinyi na yeye mtakuwa chini ya sheria ileile moja na maagizo yaleyale.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sheria hizo na masharti hayo vitawahusu ninyi na pia mgeni aishiye miongoni mwenu.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Itakuwa sheria moja na amri moja kwenu ninyi na kwa mgeni akaaye nanyi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nyinyi na yeye mtakuwa chini ya sheria ileile moja na maagizo yaleyale.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sheria hizo hizo na masharti hayo hayo, yatawahusu ninyi na mgeni aishiye miongoni mwenu.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sheria hizo hizo na masharti hayo hayo yatawahusu ninyi na mgeni aishiye miongoni mwenu.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Itakuwa sheria moja na amri moja kwenu ninyi na kwa mgeni akaaye nanyi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nyinyi na yeye mtakuwa chini ya sheria ileile moja na maagizo yaleyale.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo maonyo na maamuzi yawe yayo hayo ya ninyi wenyewe na ya mgeni atakayekaa ugenini kwenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Itakuwa sheria moja na amri moja kwenu ninyi na kwa mgeni akaaye nanyi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi na yeye mutakuwa chini ya sheria ileile moja na maagizo yaleyale.