Numbers 15:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kila mtakapokula mazao ya nchi hiyo, mtatenga kiasi fulani na kunipa mimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nanyi mkala chakula cha nchi hiyo, toeni sehemu ya chakula hicho kuwa sadaka kwa Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndipo itakapokuwa ya kwamba hapo mtakapokula katika chakula cha nchi hiyo, mtamsongezea Bwana sadaka ya kuinuliwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kila mtakapokula mazao ya nchi hiyo, mtatenga kiasi fulani na kunipa mimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nanyi mkala chakula cha nchi hiyo, toeni sehemu ya chakula hicho kama sadaka kwa BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nanyi mkala chakula cha nchi hiyo, toeni sehemu ya chakula hicho kama sadaka kwa bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo itakapokuwa ya kwamba kila mtakapokula katika chakula cha nchi hiyo, mtamsogezea BWANA sadaka ya kuinuliwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kila mtakapokula mazao ya nchi hiyo, mtatenga kiasi fulani na kunipa mimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mtakapokula mikate ya nchi hiyo, sharti mmtolee Bwana vipaji vya tambiko vya kunyanyuliwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndipo itakapokuwa ya kwamba hapo mtakapokula katika chakula cha nchi hiyo, mtamsongezea BWANA sadaka ya kuinuliwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kila mara mutakapokula mazao ya inchi hiyo, mutatenga sehemu fulani na kunipa mimi Yawe.