Numbers 15:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtakapooka mikate, mkate wa kwanza wa mazao ya kwanza ya nafaka yenu utatolewa kama sadaka kutoka mahali pa kupuria nafaka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Toeni andazi kutoka kwa malimbuko ya chakula chenu kitokacho katika ardhi, na mkitoe kama sadaka kutoka sakafu ya kupuria nafaka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika unga wenu wa kwanza wa chenga-chenga mtasongeza mkate uwe sadaka ya kuinuliwa; vile vile kama mfanyavyo sadaka ya kuinuliwa ya sakafu ya kupuria nafaka, ndivyo mtakavyoiinua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtakapooka mikate, mkate wa kwanza wa mazao ya kwanza ya nafaka yenu utatolewa kama sadaka kutoka mahali pa kupuria nafaka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Toeni andazi kutoka katika malimbuko ya chakula chenu kitokacho katika ardhi, na mkitoe kama sadaka kutoka katika sakafu ya kupuria nafaka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Toeni andazi kutoka kwa malimbuko ya chakula chenu kitokacho katika ardhi, na mkitoe kama sadaka kutoka sakafu ya kupuria nafaka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika unga wenu mtakaokanda kwanza wa chengachenga, mtasongeza sadaka ya unga wa kuinuliwa uwe sadaka ya kuinuliwa; vile vile kama mfanyavyo sadaka ya kuinuliwa ya sakafu ya kupukuchulia nafaka, ndivyo mtakavyoiinua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtakapooka mikate, mkate wa kwanza wa mazao ya kwanza ya nafaka yenu utatolewa kama sadaka kutoka mahali pa kupuria nafaka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mlimbuko wa unga wenu wa chengachenga uwe andazi, mtakalolitoa kuwa kipaji cha tambiko cha kunyanyuliwa, nacho mkitoe vivyo hivyo, kama mnavyokitoa kipaji cha tambiko cha kunyanyuliwa kitokacho penye kupuria ngano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika unga wenu wa kwanza wa chenga-chenga mtasongeza mkate uwe sadaka ya kuinuliwa; vile vile kama mfanyavyo sadaka ya kuinuliwa ya sakafu ya kupuria nafaka, ndivyo mtakavyoiinua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutakapopika mukate, mukate wa kwanza wa mazao ya kwanza ya ngano yenu utatolewa kama sadaka kutoka pahali pa kupepetea ngano.