Numbers 15:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtanitolea mimi Mwenyezi-Mungu sadaka hii maalumu katika vizazi vyenu vyote vijavyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa vizazi vyote vijavyo hamna budi kutoa sadaka hii kwa Mwenyezi Mungu kutoka kwa malimbuko ya unga wenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Malimbuko ya unga wenu mtampa Bwana sadaka ya kuinuliwa, katika vizazi vyenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtanitolea mimi Mwenyezi-Mungu sadaka hii maalumu katika vizazi vyenu vyote vijavyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa vizazi vyote vijavyo hamna budi kutoa sadaka hii kwa BWANA kutoka katika malimbuko ya unga wenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa vizazi vyote vijavyo hamna budi kutoa sadaka hii kwa bwana kutoka kwa malimbuko ya unga wenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Malimbuko ya unga wenu mtampa BWANA sadaka ya kuinuliwa, katika vizazi vyenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtanitolea mimi Mwenyezi-Mungu sadaka hii maalumu katika vizazi vyenu vyote vijavyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo ndivyo, mtakavyompa Bwana malimbuko ya unga wenu wa chengachenga kuwa vipaji vya tambiko vya kunyanyuliwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Malimbuko ya unga wenu mtampa BWANA sadaka ya kuinuliwa, katika vizazi vyenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutanitolea mimi Yawe sadaka hii katika vizazi vyenu vyote vinavyokuja.