Numbers 15:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Lakini ikiwa mtakosa kuzifuata amri zote ambazo mimi Mwenyezi-Mungu nimewapa kwa njia ya Mose,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Basi kama pasipo kukusudia umeshindwa kushika mojawapo katika amri hizi ambazo Mwenyezi Mungu alimpa Musa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena mtakapokosa, msiyashike maagizo hayo yote Bwana aliyomwambia Musa,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Lakini ikiwa mtakosa kuzifuata amri zote ambazo mimi Mwenyezi-Mungu nimewapa kwa njia ya Mose,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Basi kama pasipo kukusudia umeshindwa kushika mojawapo katika amri hizi ambazo BWANA alimpa Mose,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Basi kama pasipo kukusudia umeshindwa kushika mojawapo katika amri hizi ambazo bwana alimpa Musa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena mtakapokosa, msiyashike maagizo hayo yote BWANA aliyomwambia Musa,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Lakini ikiwa mtakosa kuzifuata amri zote ambazo mimi Mwenyezi-Mungu nimewapa kwa njia ya Mose,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikiwa kwa kupotelewa, msiyafanye hayo maagizo yote, Bwana aliyomwambia Mose,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena mtakapokosa, msiyashike maagizo hayo yote BWANA aliyomwambia Musa,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kama mutakosa kufuata amri zote ambazo mimi Yawe nimewapa kwa njia ya Musa,