Numbers 15:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kama siku zijazo watu hawatafuata yote ambayo mimi Mwenyezi-Mungu nimemwamuru Mose,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
amri yoyote ya Mwenyezi Mungu kwenu kupitia Musa, tangu siku ile Mwenyezi Mungu alipowapa na inaendelea hadi vizazi vyote vijavyo;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
hayo yote Bwana aliyowaagiza kwa mkono wa Musa, tangu siku hiyo Bwana aliyoleta maagizo, na baadaye katika vizazi vyenu
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kama siku zijazo watu hawatafuata yote ambayo mimi Mwenyezi-Mungu nimemwamuru Mose,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
amri yo yote ya BWANA kwenu kupitia Mose, tangu siku ile BWANA alipowapa na inaendelea hadi vizazi vyote vijavyo;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
amri yoyote ya bwana kwenu kupitia Musa, tangu siku ile bwana alipowapa na inaendelea hadi vizazi vyote vijavyo;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
hayo yote BWANA aliyowaagiza kwa mkono wa Musa, tangu siku hiyo BWANA aliyoleta maagizo, na baadaye katika vizazi vyenu
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kama siku zijazo watu hawatafuata yote ambayo mimi Mwenyezi-Mungu nimemwamuru Mose,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nayo hayo yote, Bwana aliyowaagiza ninyi kinywani mwa Mose tangu siku ile, Bwana alipoanza kuwaagiza maneno, nayo aliyoyaagiza baadaye kwa vizazi na vizazi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
hayo yote BWANA aliyowaagiza kwa mkono wa Musa, tangu siku hiyo BWANA aliyoleta maagizo, na baadaye katika vizazi vyenu
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kama siku zinazokuja watu hawatafuata yote ambayo mimi Yawe nimemwamuru Musa,