Numbers 15:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jumuiya yote ya Waisraeli, pamoja na wageni wanaoishi nao, watasamehewa kwa sababu wote walihusika na kosa hilo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jumuiya yote ya Waisraeli pamoja na wageni wanaoishi miongoni mwao watasamehewa, kwa sababu watu wote walihusika katika kosa lile lisilokusudiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nao mkutano wote wa wana wa Israeli watasamehewa, na mgeni akaaye kati yao; maana, katika habari za hao wote jambo hilo lilitendeka pasipo kujua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jumuiya yote ya Waisraeli, pamoja na wageni wanaoishi nao, watasamehewa kwa sababu wote walihusika na kosa hilo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jumuiya yote ya Kiisraeli pamoja na wageni waishio miongoni mwao watasamehewa, kwa sababu watu wote walihusika katika kosa lile lisilokusudiwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jumuiya yote ya Kiisraeli pamoja na wageni waishio miongoni mwao watasamehewa, kwa sababu watu wote walihusika katika kosa lile lisilokusudiwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nao mkutano wote wa wana wa Israeli watasamehewa, na mgeni akaaye kati yao; maana, katika habari za hao wote jambo hilo lilitendeka pasipo kujua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jumuiya yote ya Waisraeli, pamoja na wageni wanaoishi nao, watasamehewa kwa sababu wote walihusika na kosa hilo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo ndivyo, wao wa mkutano wote wa wana wa Isiraeli pamoja na wageni watakaokaa ugenini kwao watakavyoondolewa makosa, kwa kuwa watu wote walikuwa wamepotelewa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nao mkutano wote wa wana wa Israeli watasamehewa, na mgeni akaaye kati yao; maana, katika habari za hao wote jambo hilo lilitendeka pasipo kujua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waisraeli wote, pamoja na wageni wanaoishi nao, watasamehewa kwa sababu wote walielekewa na kosa hilo.