Numbers 15:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana amekataa yale aliyosema Mwenyezi-Mungu na kuvunja mojawapo ya amri zake. Mtu huyo atakatiliwa mbali kabisa; na lawama ya kifo chake itakuwa juu yake mwenyewe.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa sababu amelidharau neno la Mwenyezi Mungu na kuvunja amri zake, mtu huyo ni lazima akatiliwe mbali; hatia yake inabaki juu yake.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu amelidharau neno la Bwana, na kuyavunja maagizo yake; mtu huyo atakatiliwa mbali, uovu wake utakuwa juu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana amekataa yale aliyosema Mwenyezi-Mungu na kuvunja mojawapo ya amri zake. Mtu huyo atakatiliwa mbali kabisa; na lawama ya kifo chake itakuwa juu yake mwenyewe.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa sababu amelidharau neno la BWANA na kuvunja amri zake, mtu huyo ni lazima kwa hakika akatiliwe mbali; hatia yake inabaki juu yake.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa sababu amelidharau neno la bwana na kuvunja amri zake, mtu huyo ni lazima akatiliwe mbali; hatia yake inabaki juu yake.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu amelidharau neno la BWANA, na kuyavunja maagizo yake; mtu huyo atakatiliwa mbali, uovu wake utakuwa juu yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana amekataa yale aliyosema Mwenyezi-Mungu na kuvunja mojawapo ya amri zake. Mtu huyo atakatiliwa mbali kabisa; na lawama ya kifo chake itakuwa juu yake mwenyewe.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwani amelibeza Neno la Bwana na kuyavunja maagizo yake. Mtu aliye hivyo hana budi kung'olewa kabisa na kutwikwa manza, alizozikora.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu amelidharau neno la BWANA, na kuyavunja maagizo yake; mtu huyo atakatiliwa mbali, uovu wake utakuwa juu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana amekataa neno la Yawe na kuvunja moja kati ya amri zake. Mutu huyo atatengwa mbali kabisa; na lazima ya kifo chake itakuwa juu yake mwenyewe.