Numbers 15:33 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, mtu huyo akapelekwa mbele ya Mose, Aroni na jumuiya yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale waliomkuta akikusanya kuni wakamleta kwa Musa, na Haruni na kusanyiko lote,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao waliomwona akikusanya kuni wakamleta kwa Musa na Haruni, na kwa mkutano wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, mtu huyo akapelekwa mbele ya Mose, Aroni na jumuiya yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale waliomkuta akikusanya kuni wakamleta kwa Mose, Aroni na kusanyiko lote,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale waliomkuta akikusanya kuni wakamleta kwa Musa, Haruni na kusanyiko lote,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao waliomwona akikusanya kuni wakamleta kwa Musa na Haruni, na kwa mkutano wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, mtu huyo akapelekwa mbele ya Mose, Aroni na jumuiya yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waliomwona, alivyookota kuni, wakampeleka kwa Mose na Haroni na kwa mkutano wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao waliomwona akikusanya kuni wakamleta kwa Musa na Haruni, na kwa mkutano wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, mutu huyo akapelekwa mbele ya Musa, Haruni na Waisraeli wengine wote.