Numbers 15:36 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, watu wakamtoa nje ya kambi, wakampiga mawe mpaka akafa, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo kusanyiko wakamtoa nje ya kambi na kumpiga mawe hadi akafa, kama Mwenyezi Mungu alivyomwamuru Musa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi mkutano wote wakampeleka nje ya marago, nao wakampiga kwa mawe, akafa; kama Bwana alivyomwagiza Musa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, watu wakamtoa nje ya kambi, wakampiga mawe mpaka akafa, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo kusanyiko likamtoa nje ya kambi na kumpiga mawe hadi akafa, kama BWANA alivyomwamuru Mose.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo kusanyiko likamtoa nje ya kambi na kumpiga mawe hadi akafa, kama bwana alivyomwamuru Musa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi mkutano wote wakampeleka nje ya kambi, nao wakampiga kwa mawe, akafa; kama BWANA alivyomwagiza Musa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, watu wakamtoa nje ya kambi, wakampiga mawe mpaka akafa, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, wao wote wa mkutano walipomtoa na kumpeleka nje ya makambi, wakampiga mawe, hata akafa, kama Bwana alivyomwagiza Mose.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi mkutano wote wakampeleka nje ya marago, nao wakampiga kwa mawe, akafa; kama BWANA alivyomwagiza Musa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, watu wakamutoa inje ya kambi, wakamupiga mawe mpaka akakufa, kama vile Yawe alivyomwamuru Musa.