Numbers 15:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
basi, yule atoaye sadaka yake, atamletea pia Mwenyezi-Mungu sadaka ya nafaka ya kilo moja ya unga laini uliokandwa na kuchanganywa na lita moja ya mafuta;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ndipo yeye aletaye sadaka yake ataiweka mbele za Mwenyezi Mungu sadaka ya nafaka, sehemu ya kumi ya efa ya unga laini uliochanganywa na robo ya hini ya mafuta.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndipo yeye atakayetoa matoleo yake na amtolee Bwana sadaka ya unga ya sehemu ya kumi ya efa ya unga mwembamba uliochanganywa na robo ya hini ya mafuta;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
basi, yule atoaye sadaka yake, atamletea pia Mwenyezi-Mungu sadaka ya nafaka ya kilo moja ya unga laini uliokandwa na kuchanganywa na lita moja ya mafuta;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ndipo yeye aletaye sadaka yake ataiweka mbele za BWANA sadaka ya nafaka, sehemu ya kumi ya efa ya unga laini uliochanganywa na robo ya hini ya mafuta.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ndipo yeye aletaye sadaka yake ataiweka mbele za bwana sadaka ya nafaka, sehemu ya kumi ya efa ya unga laini uliochanganywa na robo ya hini ya mafuta.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo yeye atakayetoa matoleo yake na amtolee BWANA sadaka ya unga ya sehemu ya kumi ya efa ya unga mwembamba uliochanganywa na robo ya hini ya mafuta;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
basi, yule atoaye sadaka yake, atamletea pia Mwenyezi-Mungu sadaka ya nafaka ya kilo moja ya unga laini uliokandwa na kuchanganywa na lita moja ya mafuta;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
basi, huyo mwenye kumtoa na ampelekee Bwana toleo lake pamoja na kilaji cha tambiko, nacho kiwe vibaba vitatu vya unga mwembamba wa ngano uliochanganywa na kibaba kimoja cha mafuta,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndipo yeye atakayetoa matoleo yake na amtolee BWANA sadaka ya unga ya sehemu ya kumi ya efa ya unga mwembamba uliochanganywa na robo ya hini ya mafuta;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
basi, yule anayetoa sadaka yake, atamuletea vilevile Yawe sadaka ya vyakula ya kilo moja ya unga laini uliopondwa na kuchanganywa na litre moja ya mafuta.