Numbers 15:41 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, niliyewatoa nchini Misri ili niwe Mungu wenu. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mimi Ndimi Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, niliyewatoa Misri niwe Mungu wenu. Mimi Ndimi Mwenyezi Mungu, Mungu wenu.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mimi ndimi Bwana, Mungu wenu, niliyewaleta kutoka nchi ya Misri, ili kwamba niwe Mungu wenu; mimi ndimi Bwana, Mungu wenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, niliyewatoa nchini Misri ili niwe Mungu wenu. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mimi Ndimi BWANA Mungu wenu, niliyewatoa Misri niwe Mungu wenu. Mimi Ndimi BWANA Mungu wenu.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mimi Ndimi bwana Mwenyezi Mungu wenu, niliyewatoa Misri niwe Mungu wenu. Mimi Ndimi bwana Mwenyezi Mungu wenu.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mimi ndimi BWANA, Mungu wenu, niliyewaleta kutoka nchi ya Misri, ili kwamba niwe Mungu wenu; mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, niliyewatoa nchini Misri ili niwe Mungu wenu. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mimi Bwana ni Mungu wenu aliyewatoa ninyi katika nchi ya Misri, niwe Mungu wenu; kweli mimi Bwana ni Mungu wenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mimi ndimi BWANA, Mungu wenu, niliyewaleta kutoka nchi ya Misri, ili kwamba niwe Mungu wenu; mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi ni Yawe, Mungu wenu, niliyewatoa katika inchi ya Misri kusudi nikuwe Mungu wenu. Mimi ni Yawe, Mungu wenu.