Numbers 15:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
pamoja na sadaka ya kinywaji ya lita moja u nusu ya divai, na kufanya harufu nzuri ya sadaka haya kumpendeza Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na theluthi moja ya hini ya divai kuwa sadaka ya kinywaji. Vitoe kama harufu nzuri inayompendeza Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kwa sadaka ya kinywaji utasongeza sehemu ya tatu ya hini ya divai, kuwa harufu ya kupendeza kwa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
pamoja na sadaka ya kinywaji ya lita moja u nusu ya divai, na kufanya harufu nzuri ya sadaka haya kumpendeza Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na theluthi moja ya hini ya divai kama sadaka ya kinywaji. Vitoe kama harufu nzuri inayompendeza BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na theluthi moja ya hini ya divai kama sadaka ya kinywaji. Vitoe kama harufu nzuri inayompendeza bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kwa sadaka ya kinywaji utasongeza sehemu ya tatu ya hini ya divai, kuwa harufu ya kupendeza kwa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
pamoja na sadaka ya kinywaji ya lita moja u nusu ya divai, na kufanya harufu nzuri ya sadaka haya kumpendeza Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nacho kinywaji chake cha tambiko kiwe kibaba kimoja na nusu cha mvinyo; ukimtolea Bwana hivi, vitakuwa mnuko wa kumpendeza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kwa sadaka ya kinywaji utasongeza sehemu ya tatu ya hini ya divai, kuwa harufu ya kupendeza kwa BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
pamoja na sadaka ya kinywaji ya litre moja na nusu ya divai, na kufanya harufu nzuri ya sadaka ya kumupendeza Yawe.