Numbers 15:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mtu atamtoa kama sadaka pamoja na sadaka ya nafaka ya unga wa kilo tatu ulio mzuri na lita 2 za mafuta,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
leta pamoja na huyo fahali sadaka ya nafaka ya unga laini sehemu tatu za kumi ya efa uliochanganywa na nusu ya hini ya mafuta.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndipo utakapotoa, pamoja na huyo ng'ombe, sadaka ya unga ya sehemu za kumi tatu za efa ya unga mwembamba uliochanganywa na nusu ya hini ya mafuta.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mtu atamtoa kama sadaka pamoja na sadaka ya nafaka ya unga wa kilo tatu ulio mzuri na lita 2 za mafuta,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
leta pamoja na huyo fahali sadaka ya nafaka ya unga laini sehemu tatu za kumi za efa uliochanganywa na nusu ya hini ya mafuta.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
leta pamoja na huyo fahali sadaka ya nafaka ya unga laini sehemu tatu za kumi za efa uliochanganywa na nusu ya hini ya mafuta.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo utakapotoa, pamoja na huyo ng'ombe, sadaka ya unga ya sehemu za kumi tatu za efa ya unga mwembamba uliochanganywa na nusu ya hini ya mafuta.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mtu atamtoa kama sadaka pamoja na sadaka ya nafaka ya unga wa kilo tatu ulio mzuri na lita 2 za mafuta,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
utoe pamoja na ndama kilaji cha tambiko cha vibaba tisa vya unga mwembamba wa ngano uliochanganywa na vibaba viwili vya mafuta.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndipo utakapotoa, pamoja na huyo ng’ombe, sadaka ya unga ya sehemu za kumi tatu za efa ya unga mwembamba uliochanganywa na nusu ya hini ya mafuta.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mutu atamutoa kama vile sadaka pamoja na sadaka ya vyakula ya unga wa kilo tatu unaokuwa muzuri na litre mbili za mafuta,