Numbers 16:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Amewatunukia heshima ya kuwa karibu naye, nyinyi pamoja na Walawi wenzenu wote. Sasa mnataka kunyakua hata ukuhani?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amekuleta wewe na ndugu zako Walawi mwe karibu naye; lakini sasa unajaribu kuchukua ukuhani pia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tena ya kuwa amekuleta uwe karibu, na ndugu zako wote wana wa Lawi pamoja nawe? Nanyi, je! Mwataka na ukuhani pia?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Amewatunukia heshima ya kuwa karibu naye, nyinyi pamoja na Walawi wenzenu wote. Sasa mnataka kunyakua hata ukuhani?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amekuleta wewe na ndugu zako Walawi mwe karibu naye, lakini sasa unajaribu kupata na ukuhani pia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amekuleta wewe na ndugu zako Walawi mwe karibu naye, lakini sasa unajaribu kupata na ukuhani pia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
tena ya kuwa amekuleta uwe karibu, na ndugu zako wote wana wa Lawi pamoja nawe? Nanyi, je! Mwataka na ukuhani pia?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Amewatunukia heshima ya kuwa karibu naye, nyinyi pamoja na Walawi wenzenu wote. Sasa mnataka kunyakua hata ukuhani?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe na ndugu zako wote walio wana wa Lawi amewafikisha kwake pamoja na wewe, tena mnautafutiaje utambikaji nao?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tena ya kuwa amekuleta uwe karibu, na ndugu zako wote wana wa Lawi pamoja nawe? Nanyi, je! Mwataka na ukuhani pia?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Amewapatia heshima ya kuwa karibu naye, ninyi pamoja na Walawi wenzenu wote. Sasa munataka vilevile kazi ya ukuhani?