Numbers 16:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo wewe na kundi lako mnamshambulia Mwenyezi-Mungu. Nyinyi mnamnungunikia Aroni, lakini ukweli ni kwamba mnanungunika dhidi ya Mungu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wewe na wafuasi wako wote mmekusanyika pamoja kinyume cha Mwenyezi Mungu. Haruni ni nani kwamba ninyi mnung’unike dhidi yake?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu hii wewe na mkutano wako wote mmekusanyika kinyume cha Bwana; na Haruni, je! Yeye ni nani hata mkamnung'unikia?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo wewe na kundi lako mnamshambulia Mwenyezi-Mungu. Nyinyi mnamnung'unikia Aroni, lakini ukweli ni kwamba mnanung'unika dhidi ya Mungu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wewe na wafuasi wako wote mmekusanyika pamoja kinyume cha BWANA. Aroni ni nani kwamba ninyi mnung'unike dhidi yake?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wewe na wafuasi wako wote mmekusanyika pamoja kinyume cha bwana. Haruni ni nani kwamba ninyi mnung’unike dhidi yake?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu hii wewe na mkutano wako wote mmekusanyika kinyume cha BWANA; na Haruni, je! Yeye ni nani hata mkamnung'unikia?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo wewe na kundi lako mnamshambulia Mwenyezi-Mungu. Nyinyi mnamnungunikia Aroni, lakini ukweli ni kwamba mnanungunika dhidi ya Mungu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli wewe pamoja na wenzako wote mnafanya shauri la kumpingia Bwana, kwani Haroni ni nani, mkimnung'unikia?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu hii wewe na mkutano wako wote mmekusanyika kinyume cha BWANA; na Haruni, je! Yeye ni nani hata mkamnung’unikia?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Si Haruni tu munayemunungunikia, wewe na kundi lako, lakini kwa kweli munamwasi Yawe.