Numbers 16:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose alituma ujumbe kwa Dathani na Abiramu wana wa Eliabu ili waitwe, lakini wao wakasema, “Hatutakuja!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Musa akawaita Dathani na Abiramu, wana wa Eliabu. Lakini wao wakasema, “Sisi hatuji!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Musa akatuma kuwaita Dathani na Abiramu, wana wa Eliabu; nao wakasema, Hatuji sisi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose alituma ujumbe kwa Dathani na Abiramu wana wa Eliabu ili waitwe, lakini wao wakasema, “Hatutakuja!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Mose akawaita Dathani na Abiramu, wana wa Eliabu. Lakini wao wakasema, “Sisi hatuji!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Musa akawaita Dathani na Abiramu, wana wa Eliabu. Lakini wao wakasema, “Sisi hatuji!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Musa akatuma ujumbe wa kuwaita Dathani na Abiramu wana wa Eliabu; nao wakasema, “Hatuji sisi”;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose alituma ujumbe kwa Dathani na Abiramu wana wa Eliabu ili waitwe, lakini wao wakasema, “Hatutakuja!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Mose akatuma kumwita Datani na Abiramu, wana wa Eliabu, lakini wakasema: Hatuji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Musa akatuma kuwaita Dathani na Abiramu, wana wa Eliabu; nao wakasema, Hatuji sisi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akatuma ujumbe kwa Datani na Abiramu wana wa Eliabu kusudi waitwe, lakini wao wakasema: Hatutakuja!