Numbers 16:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose alikasirika mno, akamwambia Mwenyezi-Mungu “Usizikubali sadaka za watu hawa. Mimi sijachukua punda wa mtu yeyote, wala sijamdhuru mtu!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Musa akakasirika sana na kumwambia Mwenyezi Mungu, “Usiikubali sadaka yao. Mimi sikuchukua chochote, hata punda kutoka kwao, wala sijamkosea hata mmoja wao.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akakasirika sana, akamwambia Bwana. Usiikubali sadaka yao; mimi sikutwaa hata punda mmoja kwao, wala sikumwumiza hata mtu mmoja miongoni mwao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose alikasirika mno, akamwambia Mwenyezi-Mungu “Usizikubali sadaka za watu hawa. Mimi sijachukua punda wa mtu yeyote, wala sijamdhuru mtu!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Mose akakasirika sana na kumwambia BWANA, “Usiikubali sadaka yao. Mimi sikuchukua cho chote, hata punda kutoka kwao, wala sijamkosea hata mmoja wao.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Musa akakasirika sana na kumwambia bwana, “Usiikubali sadaka yao. Mimi sikuchukua chochote, hata punda kutoka kwao, wala sijamkosea hata mmoja wao.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akakasirika sana, akamwambia BWANA. Usiikubali sadaka yao; mimi sikutwaa hata punda mmoja kwao, wala sikumwumiza hata mtu mmoja miongoni mwao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose alikasirika mno, akamwambia Mwenyezi-Mungu “Usizikubali sadaka za watu hawa. Mimi sijachukua punda wa mtu yeyote, wala sijamdhuru mtu!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Mose alipokasirika sana, akamwambia Bwana: Usigeuke kuvitazama vilaji vyao vya tambiko! Sikuchukua kwao hata punda mmoja tu, wala mtu wa kwao sikumfanyizia mabaya hata mmoja tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akakasirika sana, akamwambia BWANA. Usiikubali sadaka yao; mimi sikutwaa hata punda mmoja kwao, wala sikumwumiza hata mtu mmoja miongoni mwao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akakasirika sana, akamwambia Yawe: Usikubali sadaka za watu hawa. Mimi sijatwaa punda wa mutu yeyote, wala sijamuzuru mutu!