Numbers 16:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila mmoja wenu achukue chetezo chake, na kutia ubani, kisha atakipeleka mbele ya Mwenyezi-Mungu; kwa jumla vitakuwa vyetezo 250; wewe pia na Aroni, kila mmoja atakuwa na chetezo chake.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila mtu atachukua chetezo chake na kuweka uvumba ndani, vyetezo mia mbili na hamsini kwa jumla, na kukileta mbele za Mwenyezi Mungu. Wewe na Haruni mtaleta vyetezo vyenu pia.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mkatwae kila mtu chetezo chake, na kutia uvumba juu yake, mkavilete mbele za Bwana, vyetezo mia mbili na hamsini; wewe pia, na Haruni, kila mtu na awe na chetezo chake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila mmoja wenu achukue chetezo chake, na kutia ubani, kisha atakipeleka mbele ya Mwenyezi-Mungu; kwa jumla vitakuwa vyetezo 250; wewe pia na Aroni, kila mmoja atakuwa na chetezo chake.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila mtu atachukua chetezo chake na kuweka uvumba ndani yake, vyetezo 250 kwa jumla na kuleta mbele za BWANA. Pia wewe na Aroni mtaleta vyetezo vyenu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila mtu atachukua chetezo chake na kuweka uvumba ndani yake, vyetezo 250 kwa jumla, na kukileta mbele za bwana. Wewe na Haruni mtaleta vyetezo vyenu pia.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mkatwae kila mtu chetezo chake, na kutia uvumba juu yake, mkavilete mbele za BWANA, vyetezo mia mbili na hamsini; wewe pia, na Haruni, kila mtu na awe na chetezo chake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila mmoja wenu achukue chetezo chake, na kutia ubani, kisha atakipeleka mbele ya Mwenyezi-Mungu; kwa jumla vitakuwa vyetezo 250; wewe pia na Aroni, kila mmoja atakuwa na chetezo chake.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mchukue kila mmoja chetezo chake, mtie humo mavukizo, kisha mmtokee Bwana kila mmoja na chetezo chake, vyote viwe vyetezo 250, wewe nawe na Haroni, kila na chake chetezo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mkatwae kila mtu chetezo chake, na kutia uvumba juu yake, mkavilete mbele za BWANA, vyetezo mia mbili na hamsini; wewe pia, na Haruni, kila mtu na awe na chetezo chake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila mumoja wenu atwae chetezo chake, na kutia ubani, kisha atakipeleka mbele ya Yawe; kwa jumla vitakuwa vyetezo mia mbili makumi tano; wewe vilevile na Haruni, kila mumoja atakuwa na chetezo chake.