Numbers 16:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Waambie watu waondoke karibu na makao ya hema ya Kora, Dathani na Abiramu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Waambie kusanyiko, ‘Ondokeni hapo karibu na mahema ya Kora, Dathani na Abiramu.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nena na mkutano, na kuwaambia, Ondokeni ninyi hapo karibu na maskani ya Kora, na Dathani, na Abiramu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Waambie watu waondoke karibu na makao ya hema ya Kora, Dathani na Abiramu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Liambie kusanyiko, ‘Ondokeni hapo karibu na mahema ya Kora, Dathani na Abiramu.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Liambie kusanyiko, ‘Ondokeni hapo karibu na mahema ya Kora, Dathani na Abiramu.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nena na mkutano, na kuwaambia, Ondokeni ninyi hapo karibu na maskani ya Kora, na Dathani, na Abiramu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Waambie watu waondoke karibu na makao ya hema ya Kora, Dathani na Abiramu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waambie wao wa mkutano huu kwamba: Epukeni kabisa po pote panapoyazunguka makao ya Kora na ya Datani na ya Abiramu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nena na mkutano, na kuwaambia, Ondokeni ninyi hapo karibu na maskani ya Kora, na Dathani, na Abiramu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwaambie watu waondoke karibu na makao ya Kora, Datani na Abiramu.