Numbers 16:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kuwameza watu hao, jamaa zao, pamoja na wafuasi wote wa Kora na mali zao zote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nchi ikafunua kinywa chake na kuwameza wao, pamoja na jamaa zao, na watu wote wa Kora na mali yao yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nchi ikafunua kinywa chake, na kuwameza, na watu wa nyumba zao na wote walioshikamana na Kora, na vyombo vyao vyote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kuwameza watu hao, jamaa zao, pamoja na wafuasi wote wa Kora na mali zao zote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nchi ikafunua kinywa chake na kuwameza wao, pamoja na jamaa zao, na watu wote wa Kora na mali zao zote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nchi ikafunua kinywa chake na kuwameza wao, pamoja na jamaa zao, na watu wote wa Kora na mali zao zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nchi ikafunua kinywa chake, na kuwameza, na watu wa nyumba zao na wote walioshikamana na Kora, na vyombo vyao vyote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kuwameza watu hao, jamaa zao, pamoja na wafuasi wote wa Kora na mali zao zote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
maana nchi ikaasama, ikawameza wao pamoja na nyumba zao, nao watu wote waliokuwa upande wa Kora, nazo mali zao zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nchi ikafunua kinywa chake, na kuwameza, na watu wa nyumba zao na wote walioshikamana na Kora, na vyombo vyao vyote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kuwameza watu hao, jamaa zao, pamoja na wafuasi wote wa Kora na mali zao zote.