Numbers 16:33 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wao, pamoja na vyote vilivyokuwa vyao wakashuka kuzimu hali wangali hai. Ardhi ikawafunika, wote wakatoweka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakashuka chini kaburini wakiwa hai, pamoja na kila kitu walichokuwa nacho; nchi ikajifunika juu yao, nao wakaangamia wakatoweka kutoka kwa kusanyiko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wao, na wote waliokuwa nao, wakashukia shimoni wali hai; nayo nchi ikawafunika wakaangamia kutoka mle mkutanoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wao, pamoja na vyote vilivyokuwa vyao wakashuka kuzimu hali wangali hai. Ardhi ikawafunika, wote wakatoweka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakashuka chini kaburini wakiwa hai, pamoja na kila kitu walichokuwa nacho; nchi ikajifunika juu yao, nao wakaangamia wakatoweka kutoka katika kusanyiko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakashuka chini kaburini wakiwa hai, pamoja na kila kitu walichokuwa nacho; nchi ikajifunika juu yao, nao wakaangamia wakatoweka kutoka kusanyiko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wao, na wote waliokuwa nao, wakashukia shimoni wakiwa hai; nayo nchi ikawafunika wakaangamia kutoka mle mkutanoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wao, pamoja na vyote vilivyokuwa vyao wakashuka kuzimu hali wangali hai. Ardhi ikawafunika, wote wakatoweka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, walivyoshuka kuzimuni pamoja navyo vyote vilivyokuwa vyao wakiwa wazima, kisha nchi ikawafunika, wakawa wametoweka katikati yao wa mkutano huu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wao, na wote waliokuwa nao, wakashukia shimoni wali hai; nayo nchi ikawafunika wakaangamia kutoka mle mkutanoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, wao, pamoja na vyote vilivyokuwa vyao wakashuka kuzimu wakiwa wangali wazima. Udongo ukawafunika, wote wakatoweka.