Numbers 16:35 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Mwenyezi-Mungu akapeleka moto ukawateketeza wale watu 250 waliokwenda kufukiza ubani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Moto ukaja kutoka kwa Mwenyezi Mungu, ukawateketeza wale watu mia mbili na hamsini waliokuwa wakifukiza uvumba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha moto ukatoka kwa Bwana, ukawateketeza hao watu mia mbili hamsini waliofukiza uvumba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Mwenyezi-Mungu akapeleka moto ukawateketeza wale watu 250 waliokwenda kufukiza ubani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Moto ukaja kutoka kwa BWANA, ukawateketeza wale watu 250 waliokuwa wakifukiza uvumba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Moto ukaja kutoka kwa bwana, ukawateketeza wale watu 250 waliokuwa wakifukiza uvumba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha moto ukatoka kwa BWANA, ukawateketeza hao watu mia mbili hamsini waliofukiza uvumba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Mwenyezi-Mungu akapeleka moto ukawateketeza wale watu 250 waliokwenda kufukiza ubani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha moto ukatoka kwake Bwana, ukawala wale watu 250, walipokuwa wanavukiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha moto ukatoka kwa BWANA, ukawateketeza hao watu mia mbili hamsini waliofukiza uvumba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Yawe akashusha moto ukawateketeza wale watu mia mbili makumi tano waliokwenda kufukiza ubani.