Numbers 16:41 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kesho yake, Waisraeli wote walimnungunikia Mose na Aroni wakisema, “Mmewaua watu wa Mwenyezi-Mungu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku iliyofuata jumuiya yote ya Waisraeli wakanung’unika dhidi ya Musa na Haruni, wakisema, “Mmewaua watu wa Mwenyezi Mungu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini siku ya pili yake mkutano wote wa wana wa Israeli wakamnung'unikia Musa, na Haruni, wakasema, Ninyi mmewaua watu wa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kesho yake, Waisraeli wote walimnung'unikia Mose na Aroni wakisema, “Mmewaua watu wa Mwenyezi-Mungu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku iliyofuata jumuiya yote ya Kiisraeli wakanung'unika dhidi ya Mose na Aroni, wakisema, “Mmewaua watu wa BWANA.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku iliyofuata jumuiya yote ya Kiisraeli wakanung’unika dhidi ya Musa na Haruni, wakisema, “Mmewaua watu wa bwana.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini siku ya pili yake mkutano wote wa wana wa Israeli wakawanung'unikia Musa, na Haruni, wakasema, Ninyi mmewaua watu wa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kesho yake, Waisraeli wote walimnungunikia Mose na Aroni wakisema, “Mmewaua watu wa Mwenyezi-Mungu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kesho yake wao wote wa mkutano wa wana wa Isiraeli wakamnung'unikia Mose na Haroni kwamba: Mmewaua watu wa Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini siku ya pili yake mkutano wote wa wana wa Israeli wakamnung’unikia Musa, na Haruni, wakasema, Ninyi mmewaua watu wa BWANA.