Numbers 16:42 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walipokusanyika mbele ya Mose na Aroni ili kutoa malalamiko yao, waligeuka kuelekea hema la mkutano, wakaona kuwa wingu limeifunika hema na utukufu wa Mwenyezi-Mungu ulikuwa umetokea hapo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kusanyiko walipokusanyika kupingana na Musa na Haruni, nao wakageuka kuelekea Hema la Kukutania, ghafula wingu likafunika Hema, nao utukufu wa Mwenyezi Mungu ukatokea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi ilikuwa, hapo huo mkutano ulipokuwa umekutanika kinyume cha Musa, na kinyume cha Haruni, wakaangalia upande wa hema ya kukutania; na tazama, hilo wingu likaifunika hema, na utukufu wa Bwana ukaonekana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walipokusanyika mbele ya Mose na Aroni ili kutoa malalamiko yao, waligeuka kuelekea hema la mkutano, wakaona kuwa wingu limeifunika hema na utukufu wa Mwenyezi-Mungu ulikuwa umetokea hapo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini wakati kusanyiko lilipokusanyika kupingana na Mose na Aroni, nalo likageuka kuelekea Hema la Kukutania, ghafula wingu likafunika Hema, nao utukufu wa BWANA ukatokea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini wakati kusanyiko lilipokusanyika kupingana na Musa na Haruni, nalo likageuka kuelekea Hema la Kukutania, ghafula wingu likafunika Hema, nao utukufu wa bwana ukatokea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi ilikuwa, hapo huo mkutano ulipokuwa umekutanika kinyume cha Musa, na kinyume cha Haruni, wakaangalia upande wa hema ya kukutania; na tazama, hilo wingu likaifunika hema, na utukufu wa BWANA ukaonekana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walipokusanyika mbele ya Mose na Aroni ili kutoa malalamiko yao, waligeuka kuelekea hema la mkutano, wakaona kuwa wingu limeifunika hema na utukufu wa Mwenyezi-Mungu ulikuwa umetokea hapo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, huo mkutano ulipokusanyika kutetana na Mose na Haroni, nao hao walipoligeukia Hema la Mkutano, mara lile wingu likalifunika, nao utukufu wa Bwana ukatokea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)