Numbers 16:45 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Jitenge na watu hawa, niwaangamize mara moja!” Lakini wao wakajitupa chini kifudifudi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Jitenge mbali na kusanyiko hili ili niweze kuwaangamiza mara moja.” Wakaanguka kifudifudi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ondokeni kati ya mkutano, ili niwaangamize mara moja. Wao wakapomoka kifudifudi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Jitenge na watu hawa, niwaangamize mara moja!” Lakini wao wakajitupa chini kifudifudi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Jitenge mbali na kusanyiko hili ili niweze kuwaangamiza mara moja.” Wakaanguka chini kifudifudi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Jitenge mbali na kusanyiko hili ili niweze kuwaangamiza mara moja.” Wakaanguka chini kifudifudi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ondokeni kati ya mkutano, ili niwaangamize mara moja. Wao wakaanguka kifudifudi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Jitenge na watu hawa, niwaangamize mara moja!” Lakini wao wakajitupa chini kifudifudi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jiepusheni katikati ya mkutano huu, niwamalize kwa mara moja! Ndipo, walipoanguka kifudifudi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ondokeni kati ya mkutano, ili niwaangamize mara moja. Wao wakapomoka kifudifudi.