Numbers 16:49 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Idadi ya watu waliokufa kwa pigo ilikuwa 14,700, bila kuhesabu wale waliokufa kutokana na uasi wa Kora.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini walikufa watu elfu kumi na nne na mia saba kutokana na tauni hiyo, licha ya wale waliokuwa wamekufa kwa sababu ya Kora.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi waliokufa kwa tauni walikuwa kumi na nne elfu na mia saba, zaidi ya hao waliokufa katika jambo la Kora.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Idadi ya watu waliokufa kwa pigo ilikuwa 14,700, bila kuhesabu wale waliokufa kutokana na uasi wa Kora.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini walikufa watu 14,700 kutokana na tauni hiyo, licha ya wale waliokuwa wamekufa kwa sababu ya Kora.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini walikufa watu 14,700 kutokana na tauni hiyo, licha ya wale waliokuwa wamekufa kwa sababu ya Kora.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi waliokufa kwa tauni walikuwa elfu kumi na nne na mia saba, zaidi ya hao waliokufa katika jambo la Kora.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Idadi ya watu waliokufa kwa pigo ilikuwa 14,700, bila kuhesabu wale waliokufa kutokana na uasi wa Kora.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao waliouawa na hilo pigo walikuwa watu 14700, wasipohesabiwa waliokufa kwa ajili ya Kora.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi waliokufa kwa tauni walikuwa kumi na nne elfu na mia saba, zaidi ya hao waliokufa katika jambo la Kora.