Numbers 16:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mweke makaa ya moto ndani na kutia ubani juu yake, kisha mtavipeleka mbele ya Mwenyezi-Mungu. Halafu tutaona ni nani aliyechaguliwa na Mwenyezi-Mungu. Nyinyi Walawi mmepita kikomo!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kesho wekeni moto na uvumba kwenye hivyo vyetezo mbele za Mwenyezi Mungu. Mtu ambaye Mwenyezi Mungu atamchagua atakuwa ndiye mtakatifu. Ninyi Walawi mmejitukuza sana!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
vitieni na moto, mkaweke na uvumba juu yake mbele za Bwana kesho; kisha itakuwa ya kwamba mtu Bwana atakayemchagua, yeye atakuwa mtakatifu; inawatosha ninyi, enyi wana wa Lawi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mweke makaa ya moto ndani na kutia ubani juu yake, kisha mtavipeleka mbele ya Mwenyezi-Mungu. Halafu tutaona ni nani aliyechaguliwa na Mwenyezi-Mungu. Nyinyi Walawi mmepita kikomo!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kesho wekeni moto na uvumba kwenye hivyo vyetezo mbele za BWANA. Mtu ambaye BWANA atamchagua atakuwa ndiye mtakatifu. Ninyi Walawi mmejitukuza sana!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kesho wekeni moto na uvumba kwenye hivyo vyetezo mbele za bwana. Mtu ambaye bwana atamchagua atakuwa ndiye mtakatifu. Ninyi Walawi mmejitukuza sana!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
vitieni na moto, mkaweke na uvumba juu yake mbele za BWANA kesho; kisha itakuwa ya kwamba mtu atakayechaguliwa na BWANA, yeye atakuwa mtakatifu; inawatosha ninyi, enyi wana wa Lawi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mweke makaa ya moto ndani na kutia ubani juu yake, kisha mtavipeleka mbele ya Mwenyezi-Mungu. Halafu tutaona ni nani aliyechaguliwa na Mwenyezi-Mungu. Nyinyi Walawi mmepita kikomo!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tieni moto humo, kisha wekeni kesho mavukizo juu yao mbele ya Bwana! Naye mtu, Bwana atakayemchagua, na awe mtakatifu. Maneno yenu ni mengi, ninyi wana wa Lawi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
vitieni na moto, mkaweke na uvumba juu yake mbele za BWANA kesho; kisha itakuwa ya kwamba mtu BWANA atakayemchagua, yeye atakuwa mtakatifu; inawatosha ninyi, enyi wana wa Lawi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
muweke makaa ya moto ndani na kutia ubani juu yake, kisha mutavipeleka mbele ya Yawe. Halafu tutaona ni nani aliyechaguliwa na Yawe. Ninyi Walawi mumepitisha kipimo!