Numbers 17:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose akafanya kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa akafanya kama Mwenyezi Mungu alivyomwamuru.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Musa akafanya vivyo; kama Bwana alivyomwagiza, ndivyo alivyofanya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose akafanya kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose akafanya sawasawa kama BWANA alivyomwamuru.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa akafanya kama bwana alivyomwamuru.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Musa akafanya hivyo; kama BWANA alivyomwagiza, ndivyo alivyofanya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose akafanya kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose akavifanya; kama Bwana alivyomwagiza, ndivyo livyovifanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Musa akafanya vivyo; kama BWANA alivyomwagiza, ndivyo alivyofanya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akamwambia Haruni: Twaa chetezo chako, utie moto ndani yake na kukiweka kando ya mazabahu, kisha utie ubani halafu uende nacho haraka kwa watu na kuwafanyia upatanisho. Fanya haraka! Kasirani ya Yawe imekwisha kuwafikia na pigo limeanza kuwashambulia.