Numbers 17:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waisraeli wakamwambia Mose, “Angalia sasa! Tunaangamia! Tumekwisha! Sote tumekwisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waisraeli wakamwambia Musa, “Tutakufa! Tumepotea, sote tumepotea!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha wana wa Israeli wakanena na Musa, na kumwambia, Angalia, sisi twafa, twaangamia, sote twaangamia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waisraeli wakamwambia Mose, “Angalia sasa! Tunaangamia! Tumekwisha! Sote tumekwisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waisraeli wakamwambia Mose, “Tutakufa! Tumepotea, sote tumepotea!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waisraeli wakamwambia Musa, “Tutakufa! Tumepotea, sote tumepotea!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha wana wa Israeli wakanena na Musa, na kumwambia, Angalia, sisi tunakufa, tunaangamia, sote tunaangamia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waisraeli wakamwambia Mose, “Angalia sasa! Tunaangamia! Tumekwisha! Sote tumekwisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wana wa Isiraeli wakamwambia Mose kwamba: Tazama, tunakufa, tunaangamia, kweli sisi sote tunaangamia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha wana wa Israeli wakanena na Musa, na kumwambia, Angalia, sisi twafa, twaangamia, sote twaangamia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Haruni akafanya kama vile alivyoambiwa na Musa. Akatwaa chetezo chake na kukimbia mpaka katikati ya watu waliokuwa wamekusanyika pamoja. Alipoona kwamba pigo limekwisha kuanza, akatia ubani katika chetezo na kuwafanyia watu upatanisho.