Numbers 17:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila mtu atakayekaribia, hema la Mwenyezi-Mungu atakufa. Je, tutaangamia sote?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeyote akaribiaye Maskani ya Mwenyezi Mungu atakufa. Je, sisi sote tutakufa?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kila mtu akaribiaye, aikaribiaye maskani ya Bwana, hufa; je! Tutakufa pia sote?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila mtu atakayekaribia, hema la Mwenyezi-Mungu atakufa. Je, tutaangamia sote?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ye yote akaribiaye Maskani ya BWANA atakufa. Je, sisi sote tutakufa?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeyote akaribiaye Maskani ya bwana atakufa. Je, sisi sote tutakufa?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kila mtu akaribiaye, aikaribiaye maskani ya BWANA, hufa; je! Tutakufa sote pia?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila mtu atakayekaribia, hema la Mwenyezi-Mungu atakufa. Je, tutaangamia sote?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kila alifikiaye Kao la Bwana, kweli kila alifikiaye karibu hufa; je? hivi hatutakwisha kufa sote? 4 Mose. 16:40.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kila mtu akaribiaye, aikaribiaye maskani ya BWANA, hufa; je! Tutakufa pia sote?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alipofanya hivyo, pigo hilo likakoma, naye akabaki katikati ya waliokufa na waliokuwa wazima.