Numbers 17:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Zichukue fimbo hizo katika hema la mkutano na kuziweka mbele ya sanduku la agano, mahali ambapo mimi hukutana nawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ziweke hizo fimbo ndani ya Hema la Kukutania mbele ya Sanduku la Ushuhuda, mahali nikutanapo nawe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utaziweka katika hema ya kukutania mbele ya huo ushahidi, hapo nikutanapo pamoja nanyi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Zichukue fimbo hizo katika hema la mkutano na kuziweka mbele ya sanduku la agano, mahali ambapo mimi hukutana nawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ziweke hizo fimbo ndani ya Hema la Kukutania mbele ya Sanduku la Ushuhuda, mahali nikutanapo nawe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ziweke hizo fimbo ndani ya Hema la Kukutania mbele ya Sanduku la Ushuhuda, mahali nikutanapo nawe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utaziweka katika hema ya kukutania mbele ya huo ushahidi, hapo nikutanapo pamoja nanyi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Zichukue fimbo hizo katika hema la mkutano na kuziweka mbele ya sanduku la agano, mahali ambapo mimi hukutana nawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha uziweke Hemani mwa Mkutano chini mbele ya Sanduku la Ushahidi hapo, ninapokutana nanyi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utaziweka katika hema ya kukutania mbele ya huo ushahidi, hapo nikutanapo pamoja nanyi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, kuhani Eleazari akatwaa vyetezo hivyo vya shaba ambavyo vililetwa mbele ya Yawe na wale watu walioteketezwa vikafuliwa kuwa kifuniko cha mazabahu.