Numbers 17:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Fimbo ya mtu nitakayemchagua itachipua. Kwa njia hii nitayakomesha manunguniko ya Waisraeli juu yenu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Fimbo ya mtu nitakayemchagua itachipuka, nami mwenyewe nitayakomesha haya manung’uniko ya mara kwa mara ya Waisraeli dhidi yako.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha itakuwa, mtu huyo nitakayemchagua, fimbo yake itachipuka; nami nitayakomesha kwangu manung'uniko ya wana wa Israeli, wanung'unikiayo juu yenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Fimbo ya mtu nitakayemchagua itachipua. Kwa njia hii nitayakomesha manung'uniko ya Waisraeli juu yenu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Fimbo ya mtu nitakayemchagua itachipuka, nami mwenyewe nitayakomesha haya manung'uniko ya mara kwa mara ya Waisraeli dhidi yako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Fimbo ya mtu nitakayemchagua itachipuka, nami mwenyewe nitayakomesha haya manung’uniko ya mara kwa mara ya Waisraeli dhidi yako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha itakuwa, mtu huyo nitakayemchagua, fimbo yake itachipuka nami nitayakomesha manung'uniko ya wana wa Israeli, wanung'unikiayo kwangu juu yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Fimbo ya mtu nitakayemchagua itachipua. Kwa njia hii nitayakomesha manunguniko ya Waisraeli juu yenu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, fimbo yake yeye, niliyemchagua, itakapochipuka, niyakomeshe manung'uniko ya wana wa Isiraeli, wanayowanung'unikia ninyi, yasifike tena kwangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha itakuwa, mtu huyo nitakayemchagua, fimbo yake itachipuka; nami nitayakomesha kwangu manung’uniko ya wana wa Israeli, wanung’unikiayo juu yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hili lilikuwa onyo kwa Waisraeli kwamba mutu yeyote ambaye si kuhani, maana yake asiyekuwa wa ukoo wa Haruni asiende kwenye mazabahu kwa kumufukizia Yawe ubani. Kama sivyo ataangamizwa kama Kora na wafuasi wake. Haya yote yalitendeka kama vile Yawe alivyomwambia Eleazari kwa njia ya Musa.