Numbers 17:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose akaziweka fimbo hizo zote mbele ya Mwenyezi-Mungu katika hema la mkutano.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa akaziweka hizo fimbo mbele za Mwenyezi Mungu ndani ya Hema la Ushuhuda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Musa akaziweka hizo fimbo mbele za Bwana katika hema ya kukutania.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose akaziweka fimbo hizo zote mbele ya Mwenyezi-Mungu katika hema la mkutano.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose akaziweka hizo fimbo mbele za BWANA ndani ya Hema la Ushuhuda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa akaziweka hizo fimbo mbele za bwana ndani ya Hema la Ushuhuda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Musa akaziweka hizo fimbo mbele za BWANA katika hema ya kukutania.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose akaziweka fimbo hizo zote mbele ya Mwenyezi-Mungu katika hema la mkutano.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose akaziweka hizi fimbo mbele ya Bwana Hemani mwa Ushahidi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Musa akaziweka hizo fimbo mbele za BWANA katika hema ya kukutania.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walipokusanyika mbele ya Musa na Haruni kwa kutoa malalamiko yao, wakageuka kuelekea hema la mukutano, wakaona kwamba wingu limeifunika hema na utukufu wa Yawe ulikuwa umetokea pale.