Numbers 17:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Mose akazitoa fimbo zote hapo mbele ya Mwenyezi-Mungu, akawaonesha Waisraeli wote, na kila kiongozi akachukua fimbo yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Musa akaleta zile fimbo zote kwa Waisraeli wote kutoka mbele za Mwenyezi Mungu. Wakaziangalia, na kila mtu akaichukua fimbo yake mwenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Musa akazileta nje hizo fimbo zote kutoka hapo mbele za Bwana na kuziweka mbele ya wana wa Israeli wote; nao wakaangalia, na kila mtu akaitwaa fimbo yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Mose akazitoa fimbo zote hapo mbele ya Mwenyezi-Mungu, akawaonesha Waisraeli wote, na kila kiongozi akachukua fimbo yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Mose akaleta zile fimbo zote kwa Waisraeli wote kutoka mbele za BWANA. Wakaziangalia, na kila mtu akaichukua fimbo yake mwenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Musa akaleta zile fimbo zote kwa Waisraeli wote kutoka mbele za bwana. Wakaziangalia, na kila mtu akaichukua fimbo yake mwenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Musa akazitoa nje hizo fimbo zote kutoka hapo mbele za BWANA na kuziweka mbele ya wana wa Israeli wote; nao wakaangalia, na kila mtu akaitwaa fimbo yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Mose akazitoa fimbo zote hapo mbele ya Mwenyezi-Mungu, akawaonesha Waisraeli wote, na kila kiongozi akachukua fimbo yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Mose alipozitoa hizo fimbo zote mbele ya Bwana, akazipelekea wana wa Isiraeli, nao walipoziona wakachukua kila mtu fimbo yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Musa akazileta nje hizo fimbo zote kutoka hapo mbele za BWANA na kuziweka mbele ya wana wa Israeli wote; nao wakaangalia, na kila mtu akaitwaa fimbo yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na Yawe akamwambia Musa: