Numbers 18:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtavila vitu hivyo kama vitu vitakatifu kabisa, na ni wanaume tu ndio watakaovila; vitu hivyo ni vitakatifu kwenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtaila kama kitu kilicho kitakatifu sana; kila mwanaume ataila. Ni lazima mtaiheshimu kama takatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utakula vitu hivyo kuwa ni vitu vitakatifu sana; kila mume atakula vitu hivyo; vitakuwa vitakatifu kwako wewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtavila vitu hivyo kama vitu vitakatifu kabisa, na ni wanaume tu ndio watakaovila; vitu hivyo ni vitakatifu kwenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Myale kama kitu kilicho kitakatifu sana; kila mwanaume atayala. Ni lazima myaheshimu kama takatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtaila kama kitu kilicho kitakatifu sana; kila mwanaume ataila. Ni lazima mtaiheshimu kama takatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utakula vitu hivyo kuwa ni vitu vitakatifu sana; kila mwanamume atakula vitu hivyo; vitakuwa vitakatifu kwako wewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtavila vitu hivyo kama vitu vitakatifu kabisa, na ni wanaume tu ndio watakaovila; vitu hivyo ni vitakatifu kwenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na myale mahali palipo patakatifu penyewe; wote walio wa kiume na wayale, na yawe matakatifu yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utakula vitu hivyo kuwa ni vitu vitakatifu sana; kila mume atakula vitu hivyo; vitakuwa vitakatifu kwako wewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutavikula vitu hivyo kama vitu vitakatifu kabisa, na ni wanaume tu ndio watakaovikula; vitu hivyo ni vitakatifu kwenu.