Numbers 18:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila kitu kilichowekwa wakfu nchini Israeli kitakuwa chenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kila kitu katika Israeli ambacho kimetolewa kwa Mwenyezi Mungu ni chenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kila kitu kilichowekwa wakfu katika Israeli kitakuwa chako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila kitu kilichowekwa wakfu nchini Israeli kitakuwa chenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kila kitu katika Israeli ambacho kimetolewa kwa BWANA ni chenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kila kitu katika Israeli ambacho kimetolewa kwa bwana ni chenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kila kitu kilichowekwa wakfu katika Israeli kitakuwa chako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila kitu kilichowekwa wakfu nchini Israeli kitakuwa chenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Navyo vyo vyote vitakavyotiwa mwiko wa kuwa vyao Waisiraeli vitakuwa vyako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kila kitu kilichowekwa wakfu katika Israeli kitakuwa chako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila kitu kilichotakaswa katika inchi ya Israeli kitakuwa chenu.