Numbers 18:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ninakupa wewe, wanao na binti zako, vitu vyote ambavyo watu wa Israeli hunitolea; hivyo ni haki yenu daima. Hili ni agano la milele mbele yangu ambalo ni kwa ajili yako na wazawa wako.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Chochote kitakachotengwa kutoka sadaka takatifu ambazo Waisraeli wanamtolea Mwenyezi Mungu, ninakupa wewe, na wanao wa kiume na wa kike kuwa fungu lenu la milele. Ni agano la milele la chumvi mbele za Mwenyezi Mungu, kwako na wazao wako.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sadaka zote za kuinuliwa za vitu vitakatifu, wana wa Israeli wavisongezavyo kwa Bwana, nimekupa wewe na wanao na binti zako pamoja nawe, ni haki yenu ya milele; ni agano la chumvi la milele mbele za Bwana kwa ajili yako, na kizazi chako pamoja nawe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ninakupa wewe, wanao na binti zako, vitu vyote ambavyo watu wa Israeli hunitolea; hivyo ni haki yenu daima. Hili ni agano la milele mbele yangu ambalo ni kwa ajili yako na wazawa wako.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Cho chote kitakachotengwa kutoka katika sadaka takatifu ambazo Waisraeli wanamtolea BWANA, ninakupa wewe, wanao na binti zako kama fungu lenu la kawaida. Ni Agano la milele la chumvi mbele za BWANA kwako na watoto wako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Chochote kitakachotengwa kutoka sadaka takatifu ambazo Waisraeli wanamtolea bwana, ninakupa wewe, wanao na binti zako kama fungu lenu la kawaida. Ni Agano la milele la chumvi mbele za bwana kwako na watoto wako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sadaka zote za kuinuliwa za vitu vitakatifu, wana wa Israeli wavisongezavyo kwa BWANA, nimekupa wewe na wanao na binti zako pamoja nawe, ni haki yenu ya milele; ni agano la chumvi la milele mbele za BWANA kwa ajili yako, na kizazi chako pamoja nawe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ninakupa wewe, wanao na binti zako, vitu vyote ambavyo watu wa Israeli hunitolea; hivyo ni haki yenu daima. Hili ni agano la milele mbele yangu ambalo ni kwa ajili yako na wazawa wako.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena ninakupa vipaji vitakatifu vyote, wana wa Isiraeli watakavyomtolea Bwana kuwa vipaji vya tambiko vya kunyanyuliwa; hivi ninakupa wewe pamoja na wanao wa kiume na wa kike; hii na iwe haki yenu ya kale na kale. Hili sharti liwe agano la kale na kale lisilochujuka kama chumvi, nalo umewekewa wewe pamoja na wanao mbele ya Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sadaka zote za kuinuliwa za vitu vitakatifu, wana wa Israeli wavisongezavyo kwa BWANA, nimekupa wewe na wanao na binti zako pamoja nawe, ni haki yenu ya milele; ni agano la chumvi la milele mbele za BWANA kwa ajili yako, na kizazi chako pamoja nawe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninakupa wewe, wana wako na wabinti zako, vitu vyote ambavyo watu wa Israeli wananitolea; hivyo ni haki yenu siku zote. Hili ni agano la milele mbele yangu ambalo ni kwa ajili yako na wazao wako.